RAIS SAMIA KUZINDUA BENKI YA USHIRIKA
….,……….. RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Benki ya Ushirika (CoopBankTanzania), lengo likiwa ni kufufua benki za kijamii zilizofilisika nchini. Akizungumza jana mkoani Dodoma Waziri wa Kilimo Husein Bashe, amesema Wizara ilipokea maagizo ya Rais Dkt Samia, kuhakikisha benki za kijamii zilizofilisika zinarejea na katika hatua za awali mnamo April 28 Rais…