Maandamano Ngorongoro hayakuathiri eneo la Hifadhi

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi karibuni kwa wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kuhusiana na uboreshaji wa huduma za jamii yanatekelezwa. Chana ametoa kauli hiyo alipotembelea makao makuu ya ofisi za Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na kuongea na Menejimenti…

Read More

Zanzibar rasmi utalii wa mikutano, mataifa 12 kushiriki kongamano la maadili

Unguja. Wakati Zanzibar ikitafuta nyanja mbalimbali za kuhamasisha na kutangaza utalii wake, linatarajiwa kufanyika kongamano kubwa la kimataifa linalohusiana na utalii wa maadili na mikutano. Katika kongamano hilo la kwanza liitwalo (Light upon Light) mataifa zaidi ya 12 yanatarajia kushiriki ambapo litawaleta pamoja masheikh maarufu akiwemo Mufti maarufu duniani, Ismail Menki. Akizungumza wakati wa kuzindua…

Read More

Mnyukano wa Linda kura, No reforms, no election na Oktoba Tunatiki balaa

Wakati Watanzania wakijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, mijadala ya kisiasa imetawala majukwaa mbalimbali, hususani kwenye mitandao ya kijamii. Kauli za kisiasa kama vile No reforms, No election; Oktoba Tunatiki; Piga kura, Linda kura na zingine zimekuwa maarufu mitandaoni. Kauli hizi na zingine za namna hiyo zinazoibuka kupitia mitandao ya kijamii kama vile…

Read More

Absa Bank Tanzania concludes Spend & Win campaign with great success, third Subaru Forester winner applauds service excellence

The final winner of Absa Bank Tanzania’s three-month Spend & Win campaign, Ms. Amalia Lui Shio (center), receives the ignition key to a brand-new 2024 Subaru Forester from the bank’s Head of Retail Banking, Ms. Ndabu Lilian Swere, during a ceremony held in Dar es Salaam yesterday. The campaign aimed to encourage more Tanzanians to…

Read More

BODI YA EWURA YATEMBELEA BOMBA LA MAFUTA TAZAMA

  Ndola, Zambia: Mwenyekiti wa Bodi ya ya Wakurugenzi ya EWURA, Prof. Mark Mwandosya leo 23 Machi 2025, ameongoza wajumbe wa Bodi hiyo na Menejimenti kwenye ziara ya kutembelea Bomba la Mafuta la TAZAMA linaloanzia Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Ziara hiyo ilianza Machi 21, 2025. Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati ya Bodi…

Read More