WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WATUNZA KUMBUKUMBU NCHINI

▪️Awataka wazingatie maadili, wadumishe uadilifu na kulinda usiri wa taarifa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya kazi, kudumisha uadilifu na kulinda usiri wa taarifa zote zinazohifadhiwa kwani taarifa hizo ni nyenzo muhimu ya usalama wa Taifa na maendeleo ya nchi. Amesema kuwa Chama Cha Menejimenti ya Kumbukumbu…

Read More

SERIKALI YAWEKA MKAZO UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es salaam Albert Msando akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya mazingira kimkoa ambayo yamefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Makuburi kwenye Wilaya hiyo Leo tar 14/6/2025. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Jaffary Juma Nyaigesha akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya mazingira kimkoa ambayo yamefanyika katika viwanja…

Read More

Tumia vyakula hivi kuboresha afya ya macho

Wakati janga la afya duni ya macho likiwanyemelea Watanzania wengi, wataalamu wa afya wamesisitiza umuhimu wa lishe bora katika kuboresha afya ya macho, wakieleza kuwa vyakula vya asili kama mboga za majani na matunda yenye rangi ya machungwa vina mchango mkubwa katika kujenga kinga ya mwili na kuimarisha uwezo wa kuona, hasa kutokana na uwepo…

Read More

Watatu kortini kwa tuhuma za uzembe, uzururaji Dar

Dar es Salaam. Wakazi watatu wa jijini hapa, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu shitaka la uzembe na uzururaji. Washtakiwa hao ni Juma Khamisi (20), Abubakari Gidamanonga (32) na Kaiza Tibangayuka (38). Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakamani hapo leo Alhamisi Januari 16, 2025 na kusomewa shitaka lao na karani Aurelia Bahati, mbele ya Hakimu Gladness…

Read More

Polisi watanda Ilala Boma kuzuia maandamano ya Chadema

Dar es Salaam. Hali ilivyo asubuhi ya leo   Jumatatu Septemba 23, 2024 eneo la Ilala Boma, jijini Dar es Salaam ambapo Polisi wa kutuliza ghasia wakiwa wametanda kudhibiti maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yanayolenga kuishinikiza Serikali kuchukua hatua dhidi ya utekaji na upotevu wa watu nchini. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema,…

Read More