Ibenge aona kitu Azam, awaonya mapema mastaa wake
KATIKA misimu 10 ya ushiriki wa michuano ya kimataifa iliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Azam FC haijawahi kufuzu hatua ya makundi hali inayomfanya kocha wa kikosi hicho, Florent Ibengé kuzicheza kwa akili mechi mbili zijazo ili kuweka rekodi mpya. Huu ni msimu wa 11 kushiriki CAF. Mechi hizo ni dhidi…