NMB yamkosha Samia akipokea gawio la bilioni 57.4

Benki ya NMB imetoa gawio la Sh. 57.4 bilioni kwa Serikali ambayo ni kiashiria cha azma ya kuleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wao wote, ikiwemo Serikali yenye umiliki wa asilimia 31.8 katika benki hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Gawio hilo lililotolewa na NMB ndilo gawio kubwa lilitolewa na taasisi za kibiashara ambazo Serikali…

Read More

Abiria treni ya Ubungo walalamikia ubovu wa reli, giza usiku, kung’atwa na mbu

Dar es Salaam. Abiria wanaotumia treni ya Kariakoo kwenda Ubungo maarufu kama Treni ya Mwakyembe wamelalamikia ubovu wa kipande cha reli kutoka Barabara ya Mandela hadi Kwa Mnyamani, Buguruni, hali inayowafanya kurushwarushwa na kugongana wakati wa safari. Wakizungumza na Mwananchi Digital kwa nyakati tofauti, abiria hao wameiomba TRC kuitupia jicho reli hiyo kabla haijasababisha maafa….

Read More

Enekia Lunyamila, akiri Mexico ngumu

FC Juarez inayoshiriki Ligi Kuu ya wanawake Mexico, juzi ilikubali kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Pachuca, ukiwa ni mchezo wa tatu kupoteza kwenye mechi 10 walizocheza za ligi. Chama hilo, ambalo wanatumikia Watanzania wawili, Julietha Singano na Enekia Lunyamila, matokeo hayo yameifanya ishuke hadi nafasi ya tisa kwenye msimamo kutoka ya saba, ikiwa na…

Read More

Trump aiondoa Marekani UNHRC, UNRWA

Washington. Rais Donald Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani katika Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHRC), jambo linalohatarisha mchango wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa. Trump pia ameamuru Marekani kujiondoa katika Mpango wa Umoja wa Mataifa unaotoa Misaada kwa Wapalestina (UNRWA). Tovuti ya Deutshe Welle (DW) imeripoti leo Jumatano Februari 5,…

Read More