Wabunge walia na malimbikizo madeni ya watumishi wa umma
Dodoma. Wakati wabunge wakihoji malimbikizo ya madeni ya mishahara na stahiki nyingine za watumishi wa umma, Serikali imesema imetumia Sh219 bilioni kulipa madeni ya mishahara yaliyoanza Mei 2021. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu Neema Mgaya leo Mei 27, 2024, Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na…