Mario asapraizi mashabiki kwa pikipiki
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Ally Mwanga ‘Marioo’ amewafanyia sapraizi mashabiki wa Yanga kutokana na aina ya uingiaji wake Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumbuiza sherehe za kilele cha Wiki ya Mwananchi. Kabla ya msanii huyo kuingia yalianza kupigwa mafakati juu, walifuatilia waendesha bodaboda waliozunguka uwanja akiwamo naye akiendesha yake, jambo ambalo lilifanya mashabiki kupata vaibu…