RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN APONGEZA NSSF KWA KUFANYA MAGEUZI NA KUKAMILISHA MRADI WA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
*Asema inatokana na NSSF kufanya mageuzi mbalimbali pamoja na kuwekeza vizuri kimkakati Na MWANDISHI WETU, ARUSHA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Jeshi la Magereza kwa kufanya mageuzi na kukamilisha mradi wa kimkakati wa kiwanda cha sukari Mkulazi kilichopo…