Njia ya COP30 – maswala ya ulimwengu

Mkutano huo, ambao hufanyika mnamo tarehe 24 Septemba katika makao makuu ya UN, umeundwa kama uzinduzi wa COP30 lakini, tofauti na mazungumzo ya mkutano wa hali ya hewa wa UN, hii ni tukio la kiwango cha juu ambapo wakuu wa serikali, viongozi wa serikali, biashara, na asasi za kiraia zinatarajiwa kuwasilisha ahadi za zege na…

Read More

CCM yawakalia kooni wanaojipitisha mapema kusaka udiwani, ubunge

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka utaratibu maalumu wa kufuatilia mwenendo wa makada wenye hiyo makada wanaoapitisha kwa nia ya kusaka udiwani, ubunge na uwakilishi kabla ya muda ili kuwadhibiti. Utaratibu huo utahusisha upokeaji wa tuhuma dhidi ya makada wanaokiuka utaratibu wa chama hicho, ikiwemo kuanza kampeni mapema ili kuwashughulikia wote watakaobainika. Hatua…

Read More

Aga Khan yasitisha huduma kwa wateja wa NHIF

Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umepokea taarifa kutoka Taasisi ya Aga Khan kuwa imekusudia kutoendelea na mkataba kati yake na mfuko huo,  kwa vituo 11 kati ya 24 kutokana na changamoto za kiuendeshaji kuanzia Agosti 14,2024. Miongoni mwa vituo vilivyositisha huduma kwa wateja wa NHIF ni pamoja na…

Read More