
Aliyefungwa kwa kumfanyia ukatili mtoto wa jirani yake, akwama kujinasua
Arusha. Juhudi za Emmanuel Mushi, mkazi wa Kibaha mkoani Pwani, kujinasua katika kifungo cha miaka 20 jela limegonga mwamba kwa mara ya pili. Mushi alihukumiwa kifungo hicho baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la matumizi mabaya ya ngono kwa kumuingizia vidole sehemu za siri mtoto wa jirani yake aliyekuwa na umri wa miaka mitatu kwa…