
JIWE LA SIKU: Dabi ilivyowatibulia washambuliaji Simba
KWA SASA kinachoendelea kwenye vyombo mbalimbali vya habari na kule mitandaoni ni ishu ya ujio wa straika mpya wa Simba yakitajwa majina mawili, Christian Leonel Ateba anayekipiga USM Alger na Elvis Kamsoba aliyemaliza mkataba na Perserikatan Sepakbola ya Indonesia. Simba ilianza msimu vibaya kwa kuondoshwa kwenye nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya mtani…