MKURUGENZI WA JAMIIFORUMS MAXENCE MELLO AOMBA KUJIUZULU UJUMBE WA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

:::::::: Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, @jamiiforums Maxence Melo, ameomba Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.  Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijami wa Instagram wa Melo @macdemelo amechapisha taarifa inayosomeka “Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu…

Read More

Kuendeshwa na njaa huko Gaza, amputees ni sehemu ya uharibifu wa dhamana – maswala ya ulimwengu

“Nilikuwa nitanunua Falafel,” anasema Mohammed Hassan. “Nikiwa njiani kurudi nyumbani, niliangalia juu na nikaona roketi ikinielekea. Nilijaribu kukimbia, lakini ilikuwa haraka sana. Nilijikuta nikibandika ukutani, na mguu wangu ulikuwa umepigwa.” Aliletwa katika Hospitali ya Al-Shifa huko Gaza City, kijana huyo mchanga hutazama mguu wake wa kushoto sana, na kisiki ambacho mguu wake ulikuwa. Katika eneo…

Read More

MAONESHO YA BIT KUIPA MOTISHA TASNIA YA MITINDO NA UREMBO NCHINI

Wadau Wa Tasnia ya Urembo na Mitindo waombwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya Kiwanda cha Urembo ( Beauty industry Tanzania) linalotarajiwa Kufanyika Septemba 05,2025 Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.  Akizungumza na Michuziblog Muandaaji wa Tamasha hilo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Beauty industry Tanzania (BIT) Precious Joseph  amesema Kumekuwa na Matamasha…

Read More

JAB yaanza kugawa Press Card kwa Waandishi wa Habari

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. ZIKIWA zimesalia siku 17 kwa Waandishi wa Habari Kujisajili katika Mfumo wa TAI-HABARI ili kuomba Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card), tayari waliokidhi vigenzo vilivyoanishwa Kisheria wameanza kupewa Vitambulisho hivyo. Waandishi wa Habari wa kwanza kufika Ofisi za Bodi zilizopo Mtaa wa Jamhuri Jijini Dar es…

Read More

Nkumba achaguliwa mwenyekiti mpya CCM Tabora

Tabora. Mkuu wa Wilaya ya Chato, Said Nkumba amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora kujaza nafasi ya Hassan Wakasuvi aliyefariki ghafla Februari 22, 2024. Wakasuvu alifariki ofisini wakati akimsubiri Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, aliyetarajiwa kufanya ziara siku hiyo katika Mkoa wa Tabora. Kutokana na kifo…

Read More

Afisa wa Umoja wa Mataifa anaelezea uharibifu kamili huko Carriacou kufuatia kimbunga Beryl – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza kupitia kiungo cha video kutoka Grenada, Simon Springett, Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa huko Barbados na Karibea Mashariki, alielezea tukio la uharibifu mkubwa huko Carriacou – ambapo Beryl alianguka kwa mara ya kwanza tarehe 1 Julai. “Kisiwa kizima kimeathirika kabisa … hiyo ni asilimia 100 ya watu,” alisisitiza. Kimbunga cha Beryl ni kimbunga…

Read More

Wafugaji wa Kizimkazi watembelea mashamba ya Asas Iringa

Katika juhudi za kuimarisha sekta ya ufugaji na kuboresha ustawi wa jamii, Kampuni ya Asas imetekeleza ahadi yake iliyotolewa wakati wa Sherehe za Kizimkazi Festival kwa kuandaa ziara ya wafugaji kutoka Kizimkazi kwenda kwenye mashamba yake yaliyopo Iringa. Itakumbukwa Mnamo Agosti 8, 2024 kampuni ya Asas iliahidi kuwapa wafugaji wa Kizimkazi fursa ya kujifunza mbinu…

Read More