Simba V Azam FC… utamu upo kati
SIMBA imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, huku Wanalambalamba wakijibu mapigo kwamba safari hii hawakubali unyonge mbele ya Mnyama. Mechi hii namba 167 ilipangwa kupigwa Uwanja wa KMC Complex, kuanzia saa 10:00 jioni, lakini juzi Bodi ya Ligi (TPLB) ilitoa taarifa ya kuuhamisha…