SERIKALI YATEKELEZA MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inatekeleza mapendekzo ya tume ya haki jinai kwa kujenga ofisi za kamanda mikoa katika maeneo mbalimbali nchini pamoja na kuweka vitendea kazi vya kisasa na kuboresha vituo vya polisi. Dkt Samia ametoa rai hiyo leo Julai 14 wakati akifungua jengo la…