KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAIPONGEZA OSHA KWA KUTEKELEZA MAAGIZO YAKE
Na Mwandishi Wetu Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umewasilisha maboresho ambayo yamefanyika katika kanuni mbili za usalama na afya mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo. Maboresho hayo ambayo yamefanyika katika kanuni za Igonomia na Mazingira ya Kazi yalishauriwa kufanyika na Kamati hiyo katika kikao chake cha Oktoba…