MWONGOZO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI WA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAIVA
Na John Bera – DODOMA WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini imeanza kuandaa Mwongozo wa Ufuatiliaji na Tathmini wa Wizara utakaotumiwa kwa ajili ya shughuli za Ufuatiliaji na Tathmini ya Sera, Mipango , Programu na Miradi inayotekelezwa na Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara. Akizungumza kwenye ufunguzi…