NMB Bank Celebrates Excellence and Strengthens Partnership with the University of Dar es Salaam

By our special Correspondent NMB Bank PLC in collaboration with the University of Dar es Salaam’s College of Business Studies have celebrated top graduating students with a distinguished award ceremony, honoring their academic achievements and bright futures. The event went hand in hand with the awards and prize handover where the Bank’s representatives praised the…

Read More

Chama la Wana lakumbwa na ukata

TIMU ya Stand United ‘Chama la Wana’, imeanza kukabiliwa na ukata mapema tu baada ya baadhi ya wafadhili wa kikosi hicho kudaiwa kujiweka kando kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri tangu msimu uliopita iliposhindwa kupanda Ligi Kuu Bara. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo iliyochapwa mechi tatu mfululizo za Ligi ya Championship msimu huu, zinaeleza…

Read More

Yanga, Dodoma Jiji yanukia Zenji

MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Dodoma Jiji iliyopangwa Juni 22 huenda ikachezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar endapo mambo yataenda kama yalivyopangwa awali. Hatua ya mechi hiyo kupelekwa Zanzibar inaelezwa ni kutokana na Uwanja wa KMC Complex ambao inautumia Yanga kwa mechi za nyumbani kutumiwa na watani…

Read More

Hatua karibu na haki kwa mwandishi wa habari aliyeuawa Daphne Caruana Galizia – Maswala ya Ulimwenguni

Waandamanaji wanaandamana na Mtaa wa Jamhuri ya Valletta kwenye maadhimisho ya kwanza ya mauaji ya Daphne. Mikopo: Miguela Xuereb/Daphne Caruana Galizia Foundation na Ed Holt (Bratislava) Jumatatu, Juni 16, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Bratislava, Jun 16 (IPS) – “Hatukutaka kulipiza kisasi. Tunataka haki – haki kwa Daphne na hadithi zake.” Corne Vella, dada…

Read More

TCAA yaonya matumizi mabaya ya ‘drones’

Moshi. Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema kumekuwepo na matumizi mabaya ya ndege zisizo na rubani (drones), hali ambayo inatishia usalama wa anga. Amesema licha ya teknolojia hiyo kuwa nzuri na muhimu, bado kumekuwepo na baadhi ya watu, ikiwemo waandishi wa habari, kuitumia vibaya kinyume cha sheria. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Salim Msangi,…

Read More