JKCI/ Paul Makonda waandaa kambi ya matibabu ya moyo Arusha
Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Moyo ya (JKCI), imeanza kambi ya siku nne ya kupima na kutibu maradhi ya moyo kuanzia kesho kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk. Peter Kisenge alisema wameandaa kambi hiyo kwa kushirikiana na Arusha Lutheran Medical Center (Selian ya Mjini)….