Katibu wa Amcos jela miaka 20 kwa uhujumu uchumi
Simiyu. Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi (Amcos) Kijiji cha Gula, wilayani humo, Masanja Mboje (36) baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili ya rushwa na uhujumu uchumi. Mboje pia ameamriwa kurejesha Sh3,318,000 milioni ambazo alizifanyia ubadhirifu ikizingatiwa kuwa kati ya…