NBC yashiriki maadhimisho Mei Mosi Arusha

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na maelfu ya wafanyakazi kote nchini kusherekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, MEI Mosi ambayo kitaifa yamefanyika jijini Arusha yakiongozwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango aliemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea). Maadhimisho hayo yaliyofanyika jana Jumatano kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid…

Read More

Wakulima watia shaka utolewaji fedha kukabili athari za mabadiliko ya tabianchi

Dar es Salaam. Wakati dunia inaangazia kwa makini majadiliano ya Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) unaofanyika Belem, nchini Brazil, wakulima wadogo wa Afrika Mashariki na hasa wale wa vijijini nchini Tanzania, wanaendelea kubeba mashaka kuhusu mustakabali wao. Rais wa Shirikisho la Wakulima wa Afrika Mashariki (EAFF), Elizabeth Nsimadala,…

Read More

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJIPANGA KWA MAISHA BAADA YA KUSTAFU

FARIDA MANGUBE, MOROGORO Wafanyakazi nchini wametakiwa kuanza maandalizi ya kustaafu mara tu wanaposaini mkataba wa ajira ili kujijengea mazingira bora ya maisha baada ya kumaliza utumishi wao. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Utafiti na Mazingira (RAAWU) Tawi la Chuo Kikuu cha Sokoine cha…

Read More

WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE MIRADI YA UKUZAJI UCHUMI – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, amesema Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na Wakandarasi Wazawa kwenye Miradi mbalimbali ya Ujenzi hususani ile inayolenga Maendeleo na ukuaji wa Uchumi dhamira ikiwa ni Kuijenga Tanzania kupitia miradi ya Kimkakati.       Mhandisi Kasekenya ametoa kauli hiyo leo Agosti 06, 2024 Jijini Dar es Salaam…

Read More

Pazi yaipiga na kitu kizito Mgulani JKT

KIPIGO cha pointi 106-22 kutoka kwa Pazi, kimeifanya Mgulani JKT kujiweka katika wakati mgumu wa kubakia katika Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) mwakani. Mgulani ilipata kipigo hicho kwenye Uwanja wa Donbosco Upanga kutokana na kufungwa michezo yote 10 huku ikibakiza mitano. Timu hiyo imekusanya pointi 10 ikiwa ni kutokana na kanuni zinazoipa pointi…

Read More