
Chaumma yawateua Mrema, Ruge kuwa wakurugenzi wa habari na uchumi
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imefanya uteuzi wa wakurugenzi wa idara mbalimbali ya chama hicho akiwemo John Mrema kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma. Mrema atasaidiwa na Ipyana Samsom ambaye awali alikuwa akiiongoza Idara hiyo. Aidha, Catherine Ruge ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uchumi, Fedha…