Serikali kufanyia marekebisho Sheria Kanuni ya Adhabu
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Sheria ya Kanuni ya Adhabu inahitaji marekebisho makubwa kwa kuwa tangu ilipopatikana haijafanyiwa mabadiliko yoyote. Profesa Kabudi ameyasema hayo leo Novemba 25,2024 wakati akizindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. Amesema sura ya 16 ya sheria hiyo imeeleza…