Kocha Tanzania Prisons azionya Simba, Yanga

KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno amesema licha ya kuwa mara ya kwanza kufundisha soka Tanzania, lakini uwezo na uzoefu alionao katika kazi hiyo itakuwa fursa kwake kujitangaza ndani nje ya Afrika, huku akivionya vigogo, Simba, Yanga na Azam FC. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha huyo raia wa Kenya, alisema kwa muda mrefu amekuwa akitamani…

Read More

Kesi madai ya ukahaba, Mahakama yaikomalia Serikali

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, jijini Dar es Salaam imezidi kuikaba kooni Serikali kuhusiana na uthibitisho wa ugonjwa wa shahidi wake aliyeshindwa kutoa ushahidi katika kesi ya ukahaba wiki iliyopita kwa maelezo anaumwa. Ni baada ya kuionya Serikali na kuitaka iheshimu amri na mamlaka ya mahakama. Mbali na onyo hilo, ingawa…

Read More

Nyongo: Sekta binafsi ina mchango mkubwa kwa taifa

Na Mwandishi Wetu, Mwanza NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya nchi kwani zina mchango mkubwa kwa taifa. Ameyasema hayo leo Aprili 16, 2025 wakati akifungua Mdahalo wa Kitaifa ulioandaliwa na Media Brains kwa kushirikiana na Kituo…

Read More

Yanga ni Mokwena au Mfaransa

MABOSI wa Yanga, wameendelea kufanya yao kimyakimya katika mchakato wa kusaka kocha atakayepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwa msimu ujao huku zoezi hilo likichukua sura mpya baada ya kuamua kuliongeza jina la kocha mmoja kutoka nyumba ya vipaji raia wa Ufaransa. Yanga ipo katika mipango ya kutemana na Miloud Hamdi anayeionoa kwa sasa ambaye…

Read More

Jumapili ya Balaa La Ulaya Na Faida Za Kifalme

MASHABIKI wa soka wanapata burudani ya kipekee leo, huku miamba wa Ulaya wakipambana vikali kusaka pointi muhimu. Kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na machaguo mengi ya kukupa faida ya haraka. Aston Villa wanawakaribisha Fulham mchana huu. Villa bado hawajapata ushindi msimu huu, lakini wanapambana kwa nguvu kurekebisha hali. Fulham wana safu…

Read More

BARRICK YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2024 KWA VITENDO

Meneja wa Mazingira Mgodi wa Barrick Bulyanhulu (Aliyevaa kofia Nyeupe )  akishiriki zoezi la kupanda miti katika Shule ya Sekondari ya Buyange kata ya Bugarama Halmashauri ya Msalala katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani juzi ambapo wafanyakazi wa Barrick walishiriki zoezi ka kupanda miti na kufanya usafi katika maeneo mbalimbali. Wafanyakazi wa Barrick Bulyanhuli wakishiriki…

Read More