VIONGOZI WA DINI WATAHADHARISHA KUHUSU UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU
Na Albano Midelo MSAJIRI wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Imanuel Kihampa amewatahadharisha viongozi wa dini kujiepusha na utakatishaji wa fedha haramu na kufadhili vitendo vya ugaidi. Kihampa ametoa tahadhari hiyo wakati anatoa semina ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Ruvuma iliyofanyika kwenye ukumbi wa sekondari ya…