DCEA yakamata kilo 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ukamataji huo uliohusisha watuhumiwa watano wanaodaiwa kuhusika na dawa hizo umefanyika kupitia operesheni iliyofanyika Agosti 28 hadi Septemba 2 mwaka huu katika maeneo…