KESI YA LISSU: Hakimu atoa onyo, Lissu agomea tena mtandao

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelekeza upande wa mashitaka kukamilisha haraka upelelezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Pia imeelekeza tarehe ijayo, upande wa mashitaka uje uieleze Mahakama hiyo upelelezi wa kesi hiyo umefikia hatua gani. Lissu anakabiliwa na shitaka moja la uhaini,…

Read More

Mtihani alionao Momanyi Pamba Jiji

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Mathew Tegisi Momanyi amesema ana kazi kubwa ya kufanya kuikabili safu ya ulinzi ya Simba, lakini jambo kubwa kwake ni kuhakikisha anatumia makosa ya wapinzani wao kutikisa nyavu. Momanyi ambaye anaongoza kwa mabao katika kikosi cha Pamba Jiji akifunga matano kwenye ligi msimu huu, kesho Alhamisi anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji…

Read More

Hatua muhimu Shilingi ikiporomoka dhidi ya Dola

Dar es Salaam. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani dhidi ya Dola ya Marekani kwa asilimia 11.4 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita, hali inayowastua waagizaji wa bidhaa, sanjari na hofu ya ongezeko la gharama za utekelezaji wa baadhi ya miradi mikubwa. Kushuka kwa Shilingi dhidi ya Dola kulitokana na kuadimika kwa sarafu hiyo ya…

Read More

Dili la Camara mikononi mwa Diarra

KUNA lile bato la Djigui Diara, kipa mwenye rekodi zake bora katika Ligi Kuu Bara kwa misimu minne na yule wa Simba, Moussa Camara aliyetua Msimbazi msimu huu ambao wanawania ubabe wa ‘cleen sheet’ mwisho wa msimu. Lakini, nyuma ya hilo makipa hao pia wana mengi, ingawa kwa Camara huenda akawa na jipya ambalo kwa…

Read More

Nani kasema kitanda hakizai haramu?

Canada. Kuna imani kuwa kitanda hakizai haramu. Uzoefu wetu unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu japo huhalalishwa kwa visingizio mbalimbali kama mila, ujinga na ubutu wa teknolojia. Ujio wa kipimo cha DNA unaonyesha kuwa kitanda kinazaa haramu tu.  Kusema kitanda hakizai haramu ni uchafu kimila. Ni hatari, majuto, na makosa makubwa kwa wasioamini wala kukubali uchafu…

Read More