Ukuaji wa kimataifa kubaki chini katika 2025 huku kukiwa na sintofahamu, ripoti ya Umoja wa Mataifa inaonya – Masuala ya Ulimwenguni

The Hali ya Kiuchumi Duniani na Matarajio (WESP) 2025 ripoti inaonyesha kuwa licha ya kustahimili mfululizo wa mishtuko inayoimarisha pande zote mbili, ukuaji wa uchumi wa dunia umedorora na kubaki chini ya wastani wa mwaka kabla ya janga la asilimia 3.2. Ripoti iliyotolewa na Idara ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Kiuchumi na Kijamii…

Read More

Mpango wa kuwahamisha wafugaji Ngorongoro umeshindwa mapema

  MAELFU ya wafugaji kutoka jamii ya Wamaasai kutoka vijiji 25, vilivyosajiliwa kisheria, ndani ya tarafa ya Ngorongoro, mkoani Arusha, wameandamana wiki hii, kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu. Anaandika Navaya ole Ndaskoi…(endelea). Wazee, vijana, wanawake – baadhi yao wakibeba vichanga migongoni mwao – walidamka mapema tarehe 18 Agosti 2024, wakiwa na mabango yenye jumbe…

Read More

ZFDA yaondoa sokoni vidonge vya PED Zinc kwa kukosa sifa

Unguja. Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA), imeondoa sokoni dawa aina ya PED Zinc (Zinc Sulphate Dispersible Tablet) toleo namba 2203002. Dawa hiyo inatengenezwa na kiwanda cha Beta Healthcare International Ltd cha Nairobi, Kenya. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Januari 21, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZFDA, Dk Burhan…

Read More

Vyama vyaeleza kuridhishwa na utulivu vituo vya uandikishaji

Unguja. Baadhi ya vyama vya siasa vimesema vinaridhishwa na shughuli ya uandikishaji wa daftari la mpigakura kutokana na utulivu unaoendelea tofauti na kipindi cha nyuma. Wakizungumza katika vituo vya uandikishaji Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi Machi 7, 2025, viongozi na mawakala wa vyama hivyo, wamesema uzoefu unaonyesha kipindi cha nyuma katika nyakati…

Read More

Kocha Fountain Gate afariki dunia

KOCHA Mkuu wa Fountain Gate Princess, Noah Kanyanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 26, 2025 jijini Dodoma baada ya kuugua ghafla. Akizungumza na Mwanaspoti, Ofisa Habari wa Fountain Gate, Issa Liponda ‘Mbuzi’ amesema Kanyanga alikuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu iliyomsababishia kuugua ghafla na alipopelekwa hospitali usiku akafariki. Mbuzi ameongeza kuwa taratibu…

Read More

MKE WA RAIS MNANGAGWA AWASILI ARUSHA

…………. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Dkt. Auxillia C. Mnangagwa amewasili jijini Arusha na kupokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), Naibu Waziri, Mhe. Dunstan Kitandula, baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Sekretarieti ya Shirika la Utalii Duniani. Mhe.Mnangagwa anatarajiwa kushiriki Jukwaa la…

Read More

TANZANIA KUMILIKI TEKNOLOJIA YA VIUATILIFU HAI KUTOKA CUBA

             ::::::::: TANZANIA na Cuba zimesaini mkataba wa kuhamisha teknolojia ya utengenzaji wa Viuatilifu Hai (Biolarvicides) kwa ajili ya kutokomeza ugonjwa wa malaria na wadudu waharibifu wa mazao ya kilimo. Mkataba huo umesainiwa baina ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kupitia Kampuni tanzu ya Tanzania Biotech Products Limited (TBPL)…

Read More