ECCT YAITAKA JAMII KUWEKA KIPAUMBELE WATOTO KUJIFUNZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA SHULENI

TAASISI  inayojishughulisha na masuala ya Mazingira ‘Environmental  Conserarvation Community of Tanzania (ECCT) imeitaka Jamii  kuweka kipaumbele Cha utoaji elimu kwa watoto na vijana mashuleni juu ya masuala ya utunzaji wa mazingira kwa lengo la vizazi endelevu vinavyothamini umuhimu wa mazingira. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Taasisi hiyo Lucky Michael mwishoni mwa wiki Jijini…

Read More

TANROADS Geita yatekeleza maagizo ya Waziri Bashungwa

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya Ushirombo – Nyikonga – Katoro (58km). Kipande cha Nikonga – Kashelo (10.48km) pamoja na Daraja la Nyikonga, kipande cha Kashelo – Ilolangulu (15.0km) na kipande cha Ushirombo (Kilimahewa) – Nanda…

Read More

Mnyukano wa kisheria kortini | Mwananchi

Dar es Salaam.  Upande wa mashtaka katika kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mitandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, umewasilisha maombi ya kupewa ulinzi kwa mashahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Maombi hayo yakikubaliwa, mashahidi hao watatoa ushahidi bila kuonekana hadharani. Hata hivyo, jopo…

Read More

Dk Mpango: Afrika iimarishe umoja kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Unguja. Nchi za Afrika zimesisitizwa kuimarisha umoja ili kusukuma mbele ajenda ya pamoja katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na kuimarisha uwezo wa kutafuta rasilimali za ndani, pia zimetakiwa kuacha kutegemea ufadhili kutoka mataifa makubwa, huku zikiendelea kuathiriwa na athari za mabadiliko hayo. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Aprili 28, 2025 katika mkutano…

Read More