TRC waongeza ratiba za treni mikoa ya kaskazini
Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeongeza safari za treni kuelekea mikoa ya Kaskazini Tanga, Kilimanjaro na Arusha, kutoka safari mbili kwa wiki hadi tatu, huku likitangaza gharama za nauli zitakazotumika. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa leo Desemba 7, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano TRC, Fredy Mwanjala, safari zitakuwa…