Shungu aionya Yanga, akimtaja Mpanzu Simba
KOCHA wa zamani wa Yanga, Raoul Shungu ameitahadharisha timu hiyo akiwaambia wawe makini na kiungo wa mshambuliaji wa Simba, Elie Mpanzu kutokana na uwezo wake wa kubadilisha mchezo aliokuwa nao DR Congo. Mpanzu aliyetua Simba dirisha dogo amekuwa akipata nafasi katika kikosi hicho tangu alipoanza kukitumikia huku akiweka rekodi ya kuhusika katika mabao manne akifunga…