
Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Mjini, Frank Nyalusi Afariki Dunia – Global Publishers
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Mjini, Frank Nyalusi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa Septemba 19, 2025, katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa mapema leo na viongozi wa chama hicho, wakieleza kuwa kwa sasa wanasubiri taratibu za…