Rais Samia atua Korea akiambatana na mawaziri wanne
Seoul. Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Korea Kusini tayari kwa ziara ya siku sita, ambako pamoja na mambo mengine atashuhudia itiaji saini wa mikataba mbalimbali ya ushirikiano. Rais Samia amewasili jijini Seoul saa 12 jioni kwa saa za Korea (saa 6 mchana saa za Tanzania) na kesho Juni mosi, 2024 ataanza ziara ya kitaifa…