TAKUKURU wakamata watumishi wa serikali kwa tuhuma za kuomba rushwa ‘tutaendelea kukamata”

Wakurugenzi wa halmashauri wametakiwa kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wanaohusika kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Njombe. Kauli hiyo imetolewa April 25,2024 na kamanda wa Takukuru mkoa wa Njombe Kassim Ephrem wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo. Amesema mkurugenzi anapelekewa ripoti ya mradi uliotembelewa na Takukuru na kubaini mapungufu wanategemea…

Read More

Kilichoiponza Kirumba chatajwa, Mtanda atoa siku saba

Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuufungia Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza kutumika kwa mechi mbalimbali, imebaibishwa kuwa eneo la kuchezea (pitch), kukosekana kwa maji, huduma ya vyoo, kiyoyozi na upungufu wa mabenchi katika vyumba vya wachezaji (dressing room) ndiyo chanzo cha adhabu hiyo. Hayo yameelezwa leo Machi 11, 2025 na Mratibu…

Read More

Mamia waipokea Simba uwanja wa ndege mvua ikinyesha

MAMIA ya mashabiki wa Simba  wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), usiku huu kuwapokea wachezaji waliorejea kutoka Afrika Kusini baada ya kuandika historia mpya kwenye soka la Afrika. Kikosi cha Simba kimerudi nchini kikiwa na furaha  kubwa baada ya kufuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya…

Read More

Kamati ya Bunge yaiomba Serikali kuiongezea bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Bungeni Dodoma. KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeiomba Serikali kuiongezea bajeti na kuhakikisha inatolewa yote ya Wizara ya Viwanda na Biashara ili kufanikisha Mapinduzi ya Viwanda. Ushauri huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo,Mariamu Ditopile wakati akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026…

Read More

Gymkhana, Lugalo moto utakuwaka | Mwanaspoti

LITAKUWA ni juma lililosheheni shughuli nyingi kama mzinga wa nyuki kwenye viwanja vya Dar Gymkhana na TPDF Lugalo yatakakofanyika mashindano mawili makubwa ya kuukaribisha mwezi Agosti jijini, Dar es Salaam. Kwenye viwanja vya TPDF Lugalo, mwezi Agosti utakaribishwa na mashindano ya wazi ya KCB yatakayoshirikisha wachezaji kutoka klabu zote nchini na wachezaji wa jinsi zote…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Nabi anapitia tanuri la moto Sauzi

RAFIKI yetu Nasreddine Nabi wakati anakuja nchini kwa mara ya kwanza kufanya kazi ya kuinoa Yanga, hakukuwa na mbwembwe wala hekaheka nyingi za vyombo vya habari. Ilikuwa hivyo kwa sababu hakuingia kama staa kwa vile alitoka kuachana na El Merreikh ya Sudan kufuatia mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika na ligi…

Read More

Dk Mwigulu ataka mikoa kuchunguza manunuzi ya umma

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, ameelekeza mikoa yote nchini kuanzisha vitengo maalumu vya kuchunguza taratibu za manunuzi na BQ badala ya kusubiri mbio za Mwenge wa Uhuru, hatua inayolenga kulinda ustawi wa huduma na matumizi sahihi ya fedha za umma. Dk Mwigulu amesema takribani asilimia 70 ya bajeti ya Serikali…

Read More