Charles Hilary azikwa kwao Zanzibar, wakongwe wamlilia

Unguja. Wakati safari ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Charles Hillary ikitamatika rasmi kwa kupumzishwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja, baadhi ya waandishi na watangazaji wakongwe wamemzungumzia kama mtu aliyekuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya habari. Charles alizaliwa October 22,1959…

Read More

Adaiwa kujifungua, kumzamisha mtoto kwenye maji

Dodoma.  Mkazi wa Mtaa wa Oysterbay Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma Selina Jafar (30) amedaiwa kujifungua na kumuua mtoto kwa kumzamisha ndani ya ndoo ya maji akiwa chumbani. Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amekiri kufahamu tukio hilo akisema alipigiwa simu na wenye nyumba kujulishwa tukio hilo na alituma askari…

Read More

RC MACHA AIPONGEZA TANROADS KUWEKA BANGO LA KISWAHILI MRADI UJENZI WA BARABARA YA KAHAMA – KAKOLA

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha (aliyevaa miwani)akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi…

Read More

Watoto wanaotumikishwa Zanzibar kutoka Bara waanza kusakwa

Unguja. Katika kukabiliana na tatizo la usafirishaji wa watoto kutoka Bara kwenda Zanzibar kwa ajili ya ajira za utotoni, Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imeanza kufanya ukaguzi kwenye meli zinapowasili katika Bandari ya Malindi ili kubaini uwapo wa watoto hao. Katika operesheni iliyofanyika kwa siku nne kuanzia Aprili 18 hadi 21…

Read More

Afrika Kusini kupigania msaada mapambano ya Ukimwi

Pretoria. Serikali ya Afrika Kusini imesema haitaruhusu kuondolewa kwa takribani (dola milioni 427) sawa na Sh1.1 trilioni zilizokuwa zinatolewa na Marekani, kudhoofisha programu yake kubwa ya kupambana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Kwa mujibu wa AP News, Programu hiyo, ingawa ni kubwa inakabiliana na changamoto, huku wataalamu wa afya wakionya kuwa katika miaka michache…

Read More

Fountain Gate yaizima Stand United kwao

Fountain Gate imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United kwenye mchezo uliojaza mashabiki wengi. Fountain imefika hapa baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 14 ambapo ilicheza mchezo wa kwanza wa mtoano na Prisons na kupoteza kwenye matokeo ya jumla. Ushindi…

Read More