MWONGOZO MPYA WA BIASHARA YA MBAAZI NA DENGU 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kwa kushirikiana na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala, na Soko la Bidhaa Tanzania imetoa mwongozo mpya wa biashara ya mbaazi na dengu kwa msimu wa 2024/2025. Mwongozo huo, Toleo la 3-2024, umelenga kulinda ubora wa mazao na kuongeza ushindani…