KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA YAPATIWA MAGARI 10
Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akizindua magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa magari 10 kwa Wizara ya Katiba na Sheria…