Mbowe, Lissu warejeshwa Dar kwa ulinzi wa polisi
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimethibitisha kuachiwa huru na kurudishwa jijini Dar es Salaam viongozi wake, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kwa ulinzi wa polisi. Mbali na Mbowe viongozi wengine waliorudishwa Dar es Salaam ni makamu mwenyekiti wa chama hicho (bara), Tundu Lissu aliyefika nyumbani kwake Tegeta asubuhi kwa…