Meridianbet Yawageukia Mama Ntilie Muhimbili – Global Publishers
Ni siku nyingine tena ya Ijumaa ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet waliamua kufunga safari na kwenda hadi Muhimbili kwa lengo la kutoa Aprons wa mama ntilie wa eneo hilo. Kampuni kubwa za ubashiri Tanzania Meridianbet inazidi kuonesha dhamira yake ya kusaidia jamii ambapo leo hii wameweza kugawa Aprons kwa mama ntilie wanaofanya kazi katika maeneo…