Mashujaa ni mapigo na mwendo tu Ligi Kuu Bara

MASHUJAA wana kauli mbiu yao ya ‘Mapigo na Mwendo’ na hadi sasa Ligi Kuu Bara ikiwa raundi ya nne kikosi hicho kipo nafasi ya pili katika msimamo na mmoja wa makipa wa timu hiyo, Erick Johora amefichua kuwa presha waliyoanza nayo imeondoka baada ya kugawa dozi zilizowaongezea mzuka. Mashujaa imevuna pointi saba katika mechi tatu,…

Read More

BALOZI NCHIMBI KUFANYA MKUTANO WA HADHARA LINDI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini Lindi. Balozi Nchimbi na msafara wake, atapokelewa rasmi asubuhi ya leo katika Ofisi za CCM za Mkoa huo, ambapo atafanya kikao na Kamati ya siasa na baadaye…

Read More

Bunge lapitisha bajeti ofisi ya Waziri Mkuu

Dodoma. Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2025/26 huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisema Serikali itaendelea kuhakikisha kuna hali ya usalama, amani na utulivu kipindi chote cha uchaguzi. Ofisi hizo zimepitishiwa Sh782.08 bilioni katika mwaka huo wa fedha. Hotuba hiyo ilichangiwa na wabunge 103 lakini…

Read More

Simba, Yanga zamuachia msala Kibu

BAADA ya mazungumzo ya muda mrefu na klabu yake ya Simba kuhusu kuongeza mkataba mpya sambamba na Yanga kutaka kumsajili kiungo mshambuliaji, Kibu Denis, sasa amebaki na kalamu mkononi akipewa uhuru wa kuchagua asaini wapi na avae jezi gani msimu ujao jambo lililomuweka njia panda. Kibu aliyejiunga na Simba msimu wa 2021/2023 akitokea Mbeya City…

Read More