Fahamu Umuhimu wa Gearbox Oil na Madhara ya Kutoibadilisha
Katika matumizi ya kila siku ya gari, wengi huzingatia kubadilisha engine oil lakini husahau kabisa gearbox oil (mafuta ya gearbox) – wakati nayo ni muhimu sana kwa afya ya gari. Ukweli ni kwamba gearbox oil ina mchango mkubwa katika utendaji mzima wa gari, na kuipuuzia kunaweza kukuingiza kwenye gharama kubwa zisizotarajiwa. Gearbox Oil ni Nini…