Wanawake Vijana nchini Afghanistan wanaoendeshwa kujiua huku kukiwa na kufadhaika sana – maswala ya ulimwengu

Wanawake vijana nchini Afghanistan wanakabiliwa na kukata tamaa wakati elimu ya Taliban inapiga marufuku ndoto zao, na kuwaacha na tumaini kidogo kwa siku zijazo. Mikopo: Kujifunza pamoja. Kabul Jumanne, Machi 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mwandishi ni mwandishi wa kike wa msingi wa Afghanistan, aliyefundishwa kwa msaada wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua….

Read More

KAMPUNI YA NYOTA YAZINDUA CASINO MTANDAO ‘NYOTA CASINO’.

Katika harakati za kuwakwamua vijana kiuchumi, kampuni ya Nyota imezindua rasmi Casino mtandao inayoitwa “Nyota Casino” ambayo mtumiaji atacheza michezo mbalimbali itakayomwezesha kushinda pesa Kila wakati kupitia simu au kifaa kingine Cha kielektroniki. Mbali na kucheza mtumiaji atakayemshikirikisha rafiki yake kuingia na kucheza michezo kupitia Nyota Casino atalipwa asilimia 5 ya kiasi atakachotumia mtumiaji wa…

Read More

SEKRETARIETI YA MAADILI MNAYO MAMLAKA YA KUFUATILIA UKIUKWAJI WA MAADILI YA VIONGOZI NCHINI, FANYENI HIVYO BILA KUONEA MTU”- Mhe. Ridhiwani Kikwete

Na Mwandishi wetu-Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameitaka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuchunguza na kufuatilia kwa kina ukiukwaji wa maadili kwa Viongozi wa Umma ili kuwa na taifa lenye uadilifu kwa ustawi wa taifa. “Ninyi ndio wenye mamlaka ya…

Read More

MAUZO YA SAMAKI YAPAA NJE YA NCHI

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Bi. Agnes Kisaka Meena, Novemba 21, 2025, alipokuwa akihitimisha maadhimisho ya Siku ya Mvuvi Duniani jijini Dar es Salaam katika fukwe za Kawe Beach kwa lengo la kuhamasisha dhana ya Uchumi wa Buluu, ulaji wa samaki na mazao yake, pamoja na kuimarisha shughuli za…

Read More

ASASI ZA RAIA ZATAKIWA KUTUMIA MAJUKWAA KUTOA ELIMU, KUHAMASISHA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

* INEC Yakamilisha mandalizi muhimu kwa ajili ya zoezi hilo Na Leandra Gabriel, Dar es Salaam KUELEKEA Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura nchini Asasi za kiraia zimetakiwa kutumia majukwaa yao kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha kuwa wapiga kura, Pamoja na kuboresha taarifa zao katika Daftari hilo ili waweze…

Read More

Chrome City Yapagawisha Hustlers Kariakoo na Manzese Kuelekea Uzinduzi Agosti 30, Tanganyika Packers – Kawe.

Mishemishe na harakati za Kariakoo na Manzese zilinoga kipekee kwa ‘vibe’ la aina yake jana baada ya timu ya Chrome City kuingia mtaani kuungana na mashujaa halisi wa uchumi wa mijini Tanzania – hustlers. Kuanzia waendesha bodaboda, mama lishe, wauzaji wa nguo, wauzaji wa vifaa vya umeme, mpaka wauza matunda – kampeni hii inawatambua na…

Read More

Hatari teknolojia ya ChatGPT inapoaminika kuliko mzazi

Dar es Salaam. Jioni moja wiki iliyopita nilikuwa Instanbul. Huu ni mgahawa mmoja maarufu jijini Dar es salaam. Hapa nafanya nazungumza na Damari, mwanafunzi wa shahada katika taasisi moja ya elimu ya juu jijini Dar es Salaam. Sikumuuliza umri lakini nakadiria ana miaka 21. Kikao chetu kilizaliwa na kipindi nilichokuwa nimekifanya asubuhi hiyo kwenye kituo…

Read More

Mfanyabiashara ajitosa kuwania urais kupitia TLP

Dar es Salaam. Kada wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Wilson Elias amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Elias ambaye ni mzaliwa wa Tanga, anakuwa kada wa kwanza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama…

Read More