Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iwaeleze wananchi sababu kutotoa zabuni
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hivi karibuni ilizindua miradi mingi mikubwa, yakiwemo majengo ya kisasa ya soko na kuegeshea magari yenye thamani ya mabilioni ya shilingi. Miradi hii, iliyozinduliwa wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi imebadilisha sura ya mji wa Zanzibar na ni hatua kubwa ya maendeleo ambayo serikali inayoongozwa na Rais Hussein…