Dripu inayopiga simu, kutuma ‘sms’ kuleta mapinduzi
Dar es Salaam. Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamewezesha kuboresha huduma mbalimbali zikiwamo za hospitalini kwa wagonjwa na hasa waliolazwa. Kutokana na umakini unaohitajika wa kufuatilia mwenendo wa dripu za maji au damu wanazotundikiwa wagonjwa, Godwin Justine mwanafunzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) amebuni dripu ya kielektroniki. Dripu hiyo imewekwa…