Madiwani Mlimba wapunguza ushuru mchele kutoka elfu 4000 Hadi elfu 3000 kwa gunia
Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Mlimba Mkoani Morogoro imeadhimia kupunguza ushuru wa Mchele kwa wafanyabiashara kutoka shilingi 4000 hadi shilingi 3000 Kwa gunia moja kutokana na kushuka kwa bei ya zao hilo Akizungunza wakati wa baraza la madiwani Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Innocent Mwangasa kwa sasa zao la Mchele limeporomoka kwa kiasi kikubwa…