MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi nchini kuongeza jitihada katika malezi na makuzi bora ya watoto ili kukabiliana na changamoto ya ukatili unaowezeshwa na mitandao unaotishia usalama wa watoto ambapo watoto wanarubuniwa ili kujihusisha na vitendo viovu. Makamu wa Rais ametoa wito…