Kiungo Prisons ataja sherehe kuikabili Yanga

Kiungo wa Tanzania Prisons, Kelvin Sabato amesema mchezo dhidi ya Yanga unaopigwa kesho ni kama sikukuu kwao, akieleza kuwa mechi hiyo siyo ya kutumia nguvu nyingi, bali akili pekee. Wakati Sabato akitoa kauli hiyo, kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema wako tayari kuchukua pointi tatu ambazo zitaendelea kuwaweka katika msitari wa kutetea ubingwa huku…

Read More

Mkude apata chimbo jipya Ligi Kuu

BAADA ya kuitumikia Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba, inaelezwa kiungo mkabaji Jonas Mkude anaungana na aliyekuwa kocha wake, Miguel Gamodi. Mkude ni sehemu ya nyota waliomaliza mkataba Yanga ulipomalizika msimu wa 2024-2025 huku chanzo cha kuaminika kutoka Singida Black Stars kikiliambia Mwanaspoti kiungo huyo atakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao. Akizungumza…

Read More

Vikundi 82 vyanufaika mkopo wa Sh789 milioni Chunya

Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imetoa mkopo wa zaidi ya Sh789.5 milioni kwa vikundi 82 vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Mikopo hiyo imetolewa kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali linaloelekeza halmashauri zote nchini kutenga fedha kwa ajili ya kuwezesha makundi hayo kiuchumi….

Read More

Awesu, Kagoma waiponza Simba | Mwanaspoti

ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya waliosajiliwa na Simba, Awesu Awesu, Yusuf Kagoma na Valentino Mashaka umewaponza Wekundu wa Msimbazi na kuburuza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wachezaji hao kutoka KMC, Singida Fountain Gate na Geita Gold,…

Read More

Kitasa Fountain Gate kuibukia Namungo

UONGOZI wa Namungo, uko katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa beki wa kati wa Fountain Gate, Jackson Shiga, ukiwa ni mwendelezo wa kusuka upya eneo la kujilinda, baada ya kuondoka kwa Erasto Nyoni na Mrundi Derrick Mukombozi. Nyota huyo alijiunga na Fountain Gate dirisha dogo la usajili msimu wa 2024-2025, kwa mkataba wa miezi…

Read More