BoT yakusanya tani tano za dhahabu kutoka MPMR

Mwanza. Kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu Mwanza Precious Metals Refinery (MPMR) kilichopo jijini Mwanza, kimefanikiwa kukusanya tani tano za madini ya dhahabu kwa kipindi cha mwaka mmoja, na kuendelea kuipaisha Tanzania katika sekta ya madini kwa ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza leo Septemba 27, 2025 na ujumbe kutoka Malawi, Ofisa Madini kutoka mkoani Mwanza…

Read More

MTATURU AITAKA RUWASA KUKAMILISHA MRADI MAPEMA

  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akizungumza kwenye ziara katika Kata ya Kikio kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti 2024/2025,kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji 2024 na kusikiliza kero za wananchi. ……. MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya ziara katika Kata ya Kikio na kukagua mradi wa maji wa…

Read More

Man United inakaribia kuwinda mfanyakazi mwingine wa Arteta.

Mwanafizikia wa Arsenal Jordan Reece anaripotiwa kuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo na kujiunga na Manchester United. Mashetan wekundu walimwajiri daktari wa Arsenal Gary O’Driscoll msimu uliopita wa joto, na hivyo kumaliza miaka yake 14 katika klabu hiyo ya kaskazini mwa London. Aliwasili kutoka Arsenal akiwa na sifa ya kuwa mmoja wa madaktari waliobobea kwenye…

Read More

Viongozi wa Pasifiki wanataka hatua ya hali ya hewa ya ujasiri katika mkutano wa bahari – maswala ya ulimwengu

Viongozi wa Kisiwa cha Pasifiki wanazungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika Mkutano wa 3 wa Bahari ya UN huko Nice. Mikopo: Naureen Hossain/IPS na Naureen Hossain (Nzuri, Ufaransa) Jumatano, Juni 11, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nice, Ufaransa, Jun 11 (IPS) – “Hakuna hatua ya hali ya hewa bila hatua ya bahari,”…

Read More

Mkutano Mkuu Simba tafrani tupu

WAKATI Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba ukiendelea leo Kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, wanachama wa klabu hiyo wameonekana wakiwa katika hali ya tafrani huku baadhi ya ajenda zikiendelea kusomwa ukumbini hapo. Mkutano huo ambao umeitishwa kwa mujibu wa Ibara ya 22 ya katiba ya Simba ya mwaka 2018 iliyofanyiwa marekebisho…

Read More

Hitilafu ya Amazon yavuruga dunia

Hitilafu iliyotokea katika huduma za Amazon Web Services (AWS) leo Jumatatu Oktoba 20, 2025 imesababisha usumbufu mkubwa katika mtandao, ikiathiri mamia ya programu na tovuti maarufu duniani kote. Huduma kama Snapchat, Canva, Venmo, Duolingo, Coinbase, Fortnite na Roblox zimepata changamoto za kushindwa kufunguka, utendaji wa taratibu au kukatika kabisa kwa muda. Kwa mujibu wa tovuti…

Read More

Jonathan Sowah kumrithi Guede Singida BS

SIKU chache tu tangu Singida Black Stars kumalizana na mshambuliaji Joseph Guede kwa makubaliano ya pande mbili, uongozi wa klabu hiyo upo hatua za mwisho kumalizana na straika Mghana, Jonathan Sowah ili kuziba nafasi ya nyota huyo wa zamani wa Yanga mwenye uraia wa Ivory Coast. Sowah anaungana na Mghana mwenzie, Frank Assinki anayecheza nafasi…

Read More

Mauaji ya visasi vya kifamilia yatikisa Katavi

Katavi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limeeleza mafanikio ya operesheni, doria, misako na hatua za kesi zilizofikishwa mahakamani ambapo watu 74 wanashikiliwa na jeshi hilo kwa makosa mbalimbali ikiwemo watu 12 kutuhuma kuhusika na mauaji ya wanafamilia. Akizungumza na vyombo vya habari leo Julai 5, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani…

Read More