
Zubery Katwila ala kiapo Geita Gold
KOCHA wa Geita Gold, Zubery Katwila, amesema kipaumbele chake cha kwanza ni kuhakikisha anaipambania timu hiyo kurejea tena Ligi Kuu, baada ya kushindwa kutimiza malengo hayo msimu uliopita, licha ya kucheza pia mechi za mtoano ‘Play-Off’. Katwila aliyetamba na timu mbalimbali zikiwemo, Ihefu ambayo kwa sasa ni Singida Black Stars na Mtibwa Sugar, amejiunga na…