
Yametimia vivuko vya sekta binafsi Magogoni – Kivukoni
Dar es Salaam. Milango ya ushirikiano kati ya Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) na sekta binafsi, imeanza kufungukia kwa huduma za vivuko katika eneo la Magogoni-Kivukoni. Hilo ni baada ya wakala huyo kushirikiana na Azam Marine Ltd katika utoaji huduma hiyo na tayari vivuko viwili vya kasi vimezinduliwa kuanza huduma katika eneo hilo. Milango…