DKT BITEKO AIPA TANO TEF KWA KAULI MBIU YAO YA “UANDISHI WA HABARI KUHAMASISHA MATUMIZI YA GESI KULINDA MISITU.

Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe Dkt Dotto Biteko ameoneshwa kufurahishwa na Kauli mbiu iliyoandaliwa na Jukwaa la Wahariri TEF kwa mwaka 2024 iliyokuwa inasema “Uandishi wa Habari Kuhamasisha Matumizi ya Gesi Kulinda Misitu” na kusema imebeba ujumbe unaolenga kuhamasisha matumizi ya gesi kwa kupikia. Dkt Biteko ameyasema…

Read More

Iran yafunga kituo cha lugha cha ubalozi wa Ujerumani

Tehran. Iran imefunga kituo cha lugha kinachomilikiwa na ubalozi wa Ujerumani, huku sababu ikitajwa kuwa ni kufungwa kwa vituo vya dini ya Kiislamu nchini Ujerumani. Mahakama ya Iran imefunga ofisi mbili za taasisi hiyo, ikizitaja kama vituo haramu vyenye uhusiano na Serikali ya Ujerumani, ambayo imekiuka sheria za Iran na kufanya vitendo vingi haramu. Tovuti…

Read More

Hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga

Dar es Salaam. Kama umewahi kujiuliza kwa nini maduka mbalimbali huuza nguo za watoto wachanga zenye rangi angavu kama nyeupe, pinki, bluu bahari au njano! Leo una cha kujifunza. Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake wengi hawaijui. Hata hivyo, wazee wa zamani, hasa bibi…

Read More

Dalali abaini jambo Simba, Yanga

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Hassan Dalali ‘Field Marshal’ amesema amezifuatilia kwa karibu Simba na Yanga katika michuano ya kimataifa ya CAF na kushtukia jambo ambalo kama klabu hizo zitarekebisha kidogo tu, basi muda si mrefu zitabeba ubingwa wa Afrika. Simba imecheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikipoteza mbele ya RS Berkane…

Read More

Mawakala wa forodha walia na mfumo hodhi wa manunuzi serikalini

Dar es Salaam. Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (Taffa) kimeeleza kuwa uamuzi wa Serikali kutumia Wakala wa Huduma na Ununuzi Serikalini (GPSA) katika manunuzi yote unawakosesha kazi na kuathiri shughuli zao za kila siku. Kutokana na hilo, kimemuomba Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa awasaidie mawakala kwa kurejesha uhai wa shughuli zao kupitia ushindani. Hayo…

Read More

JIWE LA SIKU: Ukishangaa ya Simba utayaona ya Tshabalala

SIMBA kwa sasa ipo kwenye presha. Moja haikai, mbili haikai lakini kazi inaendelea. Ni kipindi ambacho kila kitu ndani ya klabu hakina jibu la kueleweka kuanzia kwenye uongozi wa juu kabisa wa bodi, benchi la ufundi, wachezaji hadi wanachama na mashabiki. Ni kipindi cha mpito. Pamoja na mambo yote yanayoendelea, kikubwa zaidi wanachotaka kujua mashabiki…

Read More

Aga Khan yapata ithibati ya JCI kwa mara ya nne

Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam imeendelea kuimarisha hadhi yake kama kinara wa kitaifa na kikanda katika ubora wa huduma za afya na usalama wa wagonjwa, baada ya kutunukiwa kwa mara ya nne mfululizo muhuri wa dhahabu wa ithibati kutoka Joint Commission International (JCI) ya Marekani. Ithibati ya JCI inatambulika kama…

Read More